Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hapana aiseee
Zamani gani unaongelea mimi nikikuambia mifano hai
Ninayo hata my parents wao wakiwa kati ya 22- 24 walikuwa wamemaliza chuo na wanakuwa wachumba na kuoana. Na kuishi kwa raha za hadi leo
Naongelea miaka ila nyuma ya 70s
HahahahhahahahaWait for 5 seconds inaboaaaa
Toa likesKula na likes
Kuna supu ya kuku wa kienyeji pale London Launge. Hua ni shiida.Ule mchemsho ni hatariii,kwa bei rahisi tu
galasaLukaku is Red
Mpaka usiku tutakuwa 120118k loading
ongezea likePost yangu ya dakika 15 zilizopita bado ina like 1.
Hamjaitendea haki
Kula likes. Vijembe vya lile jukwaa la mapovu mafisi vs manyumbu. Vibakie huko huko [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa hapa ni LIKES muongozo muachie TULIA na Vilaza wake wa LUMUMBA
Ahhahahahahaha kauli za humu ndani zinanifanya niendelee kucheka tu.Kama maisha ni popote,nenda kaishi kibiti.