Kazi ya ccm haina makosa kwa Jamhuri ya Wajinga.
NI MUHIMU; Single SIM Card ownership per Operator
Sheria itaanza kufanya KAZI tarehe 1 Julai 2020.
Kila mtanzania anatakiwa kumiliki SIM-Card moja kwa mtandao
Mtanzania ukikutwa na zaidi ya SIM-Card moja kwa Mtandao mmoja faini TZS 5m au jela miezi 12.
Hizi sheria za ajabuajabu zinatokana na aina ya wabunge wa ccm ambao sisi Watanzania hatukuwapeleka Bungeni bali ccm ikalazimisha kuwapeleka bungeni.
Unawezakukuta hata wabunge wenyewe wanashangaa hizi sheria mpya kuwepo Tanzania.