Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manyara National park.
Manyara
Tanzania
FB_IMG_1584244517541.jpg
 
Kazi ya ccm haina makosa kwa Jamhuri ya Wajinga.

NI MUHIMU; Single SIM Card ownership per Operator

Sheria itaanza kufanya KAZI tarehe 1 Julai 2020.

Kila mtanzania anatakiwa kumiliki SIM-Card moja kwa mtandao

Mtanzania ukikutwa na zaidi ya SIM-Card moja kwa Mtandao mmoja faini TZS 5m au jela miezi 12.

Hizi sheria za ajabuajabu zinatokana na aina ya wabunge wa ccm ambao sisi Watanzania hatukuwapeleka Bungeni bali ccm ikalazimisha kuwapeleka bungeni.

Unawezakukuta hata wabunge wenyewe wanashangaa hizi sheria mpya kuwepo Tanzania.
Sim card moja kwa Voda

Sim card moja Tigo

Sim card moja Airtel

Sim card moja Halotel....

Naona hata huku ndiyo kawaida. Unakuwa na namba moja tu kwa mtandao mmoja labda kama unataka nyingine kwa matumizi kama biashara ndiyo wanakupa na unaiandikisha kuwa ni ya biashara. Ila sijawahi jua kwa nini huwa wanafanya hivi. Kuna tatizo lolote katika mtandao wao mtu mmoja akiwa na namba zaidi ya moja? Au kimapato ina matatizo kwa sababu ukiwa nazo nyingi hutaweza kuzitumia zote ipasavyo kinyume na kama ni moja hiyo hiyo unaitegemea. Nadhani kuna sababu kibiashara pengine....
 
''Ni wazi hatujaweza kudhibiti sasa,'' Dkt Fauci alisema, akitahadharisha kuwa raia wengi wa Marekani hawavai barakoa na hawafuati kanuni ya kutochangamana.
Ngoma imeanza upya. Majimbo 36 sasa kunawaka moto. Trump wala hajali na ameapa afe kipa afe refa hakuna lockdown tena....
 
MRISHO GAMBO KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba baada ya chama chake kutoa ruhusa ya wanachama wao kutia nia, yeye kama mwanachama wa CCM anakusudia kufanya hivyo katika jimbo la Arusha Mjini
Anamvaa kamanda Lema?
 
Back
Top Bottom