moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mi nadhani kila chama kiende na njia yake, maana UKAWA ilitufundisha kuwa anayesimamisha mgombea urais ndiye anayenufaika baadaye.Kizungumkuti itakuwa nani agombee urais. Maalim, Zitto, Membe, Lissu...Wakiweza kuungana watatoa upinzani ila wakienda kila mtu na lwake hakuna kitu....
Membe nadhani atakuwa mgombea wa CHADEMA kama ana pesa za kutosha
Kumbuka NCCR Mageuzi ilipoteza wabunge wake watano kwa manufaa ya Ukawa lakini hivi leo Mbatia anaishia matusi toka kwa washirika wake wa zamani