Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kizungumkuti itakuwa nani agombee urais. Maalim, Zitto, Membe, Lissu...Wakiweza kuungana watatoa upinzani ila wakienda kila mtu na lwake hakuna kitu....

Membe nadhani atakuwa mgombea wa CHADEMA kama ana pesa za kutosha
Mi nadhani kila chama kiende na njia yake, maana UKAWA ilitufundisha kuwa anayesimamisha mgombea urais ndiye anayenufaika baadaye.
Kumbuka NCCR Mageuzi ilipoteza wabunge wake watano kwa manufaa ya Ukawa lakini hivi leo Mbatia anaishia matusi toka kwa washirika wake wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…