Acidic shampoo
Pale ni kiboko mkuu... Napaelewa sanaKuna supu ya kuku wa kienyeji pale London Launge. Hua ni shiida.
Kama duniani hakufai hamia Kuzimu.Duniani hakufai ndo mana ukizaliwa tu unalia
Kazi kweli kweliUsijichanganye ukadhani ni SIMBA YA BUYENZE,huyo ni SHIMBA sio SIMBA 😀😀
Ukiyanywa maji ya baharini utakufa mapema kuliko wenzako wataokufa na kiu!Kufa kwa kiu baharini ni uzembe.
Sio kweli...galasa
Nipe hayo maeneo nikafukie fukie vifusi!Post yangu ya dakika 15 zilizopita bado ina like 1.
Hamjaitendea haki
Ukiyanywa maji ya baharini utakufa mapema kuliko wenzako wataokufa na kiu!
Wewe ulidhani unakimbia uongo?Naona uzi unakimbia kweli