Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo
tapatalk_jpeg_1593634606922.jpg
 
Kwa alichofanya Domayo sioni sababu ya yeye kuomba radhi wakati ikumbukwe alimuweka nje bocco kwa msimu mzima na robo yake

Jana nako kamfanyia rafu kapombe alafu anadai ni bahati mbaya wakati anawajua vizuri kwamba awaumize wapi ili awakwamishe kucheza

Mimi sioni sababu ya yeye kuomba msamaha wake nataka Tff wamchukulie hatua za kinidhamu
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe, anasema ikiwa vyama vya upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
 
Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchini matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom