Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hatua ya kulikamata soko kubwa, huanza kwa kulikamata soko dogo, chagua soko dogo ambalo halijafikiwa anza nalo, lakini kutaka kuanza na soko kubwa ni sawa na kujifunzia kuogelea baharini LAZIMA UTAZAMA TUUsianze na soko lenye ushindani utapoteza mtaji kwa kumezwa na waliobobea