Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400040100521_146586.jpg
 
Asante mkuu ila mimi huwezi kunilinganisha na hao ma-great thinkers wakubwa uliowataja. Mi mwepesi sana hata robo siwafikii hao. Ndiyo maana nimetulia huku kwenye jukwaa letu la likes - jukwaa linalodharaulika sana hapa JF ila asante. Kila mmoja wetu ana umuhimu wake na tunategemeana na kukamilishana bila kujali tofauti zetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sawa lakin kila nikitazama kuna kitu cha tofauti sana kukuhusu...
 
Back
Top Bottom