Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa lakin kila nikitazama kuna kitu cha tofauti sana kukuhusu...Asante mkuu ila mimi huwezi kunilinganisha na hao ma-great thinkers wakubwa uliowataja. Mi mwepesi sana hata robo siwafikii hao. Ndiyo maana nimetulia huku kwenye jukwaa letu la likes - jukwaa linalodharaulika sana hapa JF ila asante. Kila mmoja wetu ana umuhimu wake na tunategemeana na kukamilishana bila kujali tofauti zetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]