Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Poa yaani haujaelewa picha ya aliyepo kwenye avatar au?Mamboz hiyo avatar sijailewa ni nani
Kasema yuko pub tena kule mbele kabisa kwenye kaunta upande wa kulia amevaa jezi ya simba ya kijivu anajipigilia mi K-Vant yake. Kwa mazingira haya sidhani kama anaweza kuitambua hiyo avatar [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Poa yaani haujaelewa picha ya aliyepo kwenye avatar au?
NimekupataPoa yaani haujaelewa picha ya aliyepo kwenye avatar au?
[emoji23][emoji23][emoji23] Msukuma mavi, aau..Kwa ile lugha ya wajanja Bongo tunamwita "gipilingitya mashi" [emoji16][emoji16][emoji16]