moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wasalaam walekhum waramatulah wabarakatu,ndungu wana CDM....
Wanapimana mizani za huko jangwani...Mademu wengi warembo kichwani huwa ni sifuri...View attachment 1500319
Walyekum salaam.Wasalaam walekhum waramatulah wabarakatu,ndungu wana CDM....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huenda ni Moshi Bar hapo Ukonga Mombasa.
Alfu 45 amelipia vipodozi na Bajaji ya kumfikisha Ubungo terminal [emoji23][emoji23]
Tunapitia mengi sana.....Pale wanaume wanapofanywa poyoyo...View attachment 1500324
[emoji23][emoji23][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mtaka cha uvunguni...Tunapitia mengi sana.....
Alafu kuna ng'ombe iko shule inacheza....
Amina,hakika nitamuona Allah nakula mema ya pepo....
Asogeze kitanda.....Mtaka cha uvunguni...
Kula mema ya pepo kunahitaji jitihada kubwa sana hapa DunianiAmina,hakika nitamuona Allah nakula mema ya pepo....
Kama zipi maana hakika 50% nitakuwa nazoKula mema ya pepo kunahitaji jitihada kubwa sana hapa Duniani