Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simu na teknolojia vimetuweka jela pasina kujijua...
493e403ec4deb7099bdb347a3ea03661.jpg
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo mtu yupo kafungiwa lakini kwa nje kuna funguo na mkate, yeye kaona achukue mkate badala angechukua funguo atoke ili sasa awe huru kabisa na aweze kuchukua mkate. So hapo kaangalia solution ya muda mfupi ya kutatua tatizo badala ya kufata solution ya muda mrefu ambayo ndio huo ufunguo
 
Safi sana mkuu kweli wewe ni great thinker...jazaakallah kheyri.
 
Back
Top Bottom