Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Kaa kwa kutulia isubiri tarehe 12 we mkiaSimba oyeee
Kuyaacha yaliyokatazwa na kuyafuata yaliyoamrishwa.Kama zipi maana hakika 50% nitakuwa nazo
AiseeFafanua picha...I dare uView attachment 1500358
Give it a shot mkuu...Aisee
Kwa mtazamo wangu naona huyo mtu yupo kafungiwa lakini kwa nje kuna funguo na mkate, yeye kaona achukue mkate badala angechukua funguo atoke ili sasa awe huru kabisa na aweze kuchukua mkate. So hapo kaangalia solution ya muda mfupi ya kutatua tatizo badala ya kufata solution ya muda mrefu ambayo ndio huo ufunguoFafanua picha...I dare uView attachment 1500358
Safi sana mkuu kweli wewe ni great thinker...jazaakallah kheyri.Kwa mtazamo wangu naona huyo mtu yupo kafungiwa lakini kwa nje kuna funguo na mkate, yeye kaona achukue mkate badala angechukua funguo atoke ili sasa awe huru kabisa na aweze kuchukua mkate. So hapo kaangalia solution ya muda mfupi ya kutatua tatizo badala ya kufata solution ya muda mrefu ambayo ndio huo ufunguo
🙏🙏Safi sana mkuu kweli wewe ni great thinker...jazaakallah kheyri.
Jamaa popoyo sana badala ya kuchukua funguo anakimbilia msosiFafanua picha...I dare uView attachment 1500358