mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah jauuu..[emoji119]Jamaa popoyo sana badala ya kuchukua funguo anakimbilia msosi
HahahahaUkiweka mkeka namna unavyokuwa unafuatilia gemu..[emoji23]View attachment 1500367
My princess upoKwa mtazamo wangu naona huyo mtu yupo kafungiwa lakini kwa nje kuna funguo na mkate, yeye kaona achukue mkate badala angechukua funguo atoke ili sasa awe huru kabisa na aweze kuchukua mkate. So hapo kaangalia solution ya muda mfupi ya kutatua tatizo badala ya kufata solution ya muda mrefu ambayo ndio huo ufunguo
Mbna hana chura?
Unapenda churaMbna hana chura?