moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nao wi a tokingi [emoji14][emoji14][emoji14]
Kuna mataji hapo timu yako ya Man City itawachukua zaidi ya miaka 50 ili kuyapataDah naumia sana kuona liverpool wakipiga kelele kwa taji lililowachukua miaka dahari kulipata..
Mhesimiwa kuna taarifa sio man City n Man Utd..Kuna mataji hapo timu yako ya Man City itawachukua zaidi ya miaka 50 ijayo ili kuyapataView attachment 1500422
Man United watasubiri sana.Mhesimiwa kuna taarifa sio man City n Man Utd..
Mkuu uwe na data googleDah naumia sana kuona liverpool wakipiga kelele kwa taji lililowachukua miaka dahari kulipata..
Ni kweli lakin haitachukua muda mrefu kama ilivyokuwa kwa liverpool..yani bila Klopp sijui kwa kweli inabidi mumtengenezee kumbu kumbu hapo AnfieldMan United watasubiri sana.
Ndiyo kwanza wanahangaika kuijenga timu yao
Kama asingekuja sir Ferguson ingekuwajeNi kweli lakin haitachukua muda mrefu kama ilivyokuwa kwa liverpool..yani bila Klopp sijui kwa kweli inabidi mumtengenezee kumbu kumbu hapo Anfield
Achana na mambo ya zama za mawe mzee..[emoji28] ligi kama ligi kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 90..Mkuu uwe na data google
Chelsea imewachukua miaka 50 kubeba Epl
Arsenal miaka 42
Man United 40
Man City 50
Bila shaka pengine now tungekuwa tunasimulia story tofautiKama asingekuja sir Ferguson ingekuwaje
Mkuu unamawenge www Raisi wa kwanza wa Tanzania naniAchana na mambo ya zama za mawe mzee..[emoji28] ligi kama ligi kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 90..