Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1594151624669.jpg
 
Ni kweli lakin haitachukua muda mrefu kama ilivyokuwa kwa liverpool..yani bila Klopp sijui kwa kweli inabidi mumtengenezee kumbu kumbu hapo Anfield
Siyo rahisi kuijenga Man United irejee makali yake kwa muda mfupi kiasi hicho.
Kitakacho igharimu timu hiyo ni ile presha ya kupata mafanikio ya haraka haraka wakati makocha wanaokuja hapo watakuwa na malengo ya miaka miwili, mitatu au minne.
Hili litachelewesha sana jitihada zenu na ndilo ambalo Liverpool wamekutana nalo.
Tusubiri tuone
 
Hukuwa wazi ndo maana nimepuyanga sana...Hatua ya kwanza ya kupatiwa msaada ni kuelezea tatizo kwa ufasaha na uwazi kwa kadri inavyowezekana.

Uko perfectionist kwani? Ni mtu unayeogopa sana kushindwa?
hapo mwisho umepatia kabisa mkuu, nikweli naogopa Sana kushindwa naicho kitu kinanifanya niwe makini Sana kwa kila ninalolifanya?
 
Back
Top Bottom