Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1594180253753.jpg
 
Siyo rahisi kuijenga Man United irejee makali yake kwa muda mfupi kiasi hicho.
Kitakacho igharimu timu hiyo ni ile presha ya kupata mafanikio ya haraka haraka wakati makocha wanaokuja hapo watakuwa na malengo ya miaka miwili, mitatu au minne.
Hili litachelewesha sana jitihada zenu na ndilo ambalo Liverpool wamekutana nalo.
Tusubiri tuone
Yeah ni kweli ila kwa Ole tuna mipango nae ya muda mrefu ndo maana tumempa muda otherwise tungemtupia virago mapema sana kipindi anaipeleka man utd hobela hobela.
 
Back
Top Bottom