Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moody...
ef2f3f5d4ab7038fffa1dc2b343f7eb4.jpg
 
Wakati Muhammad Ali alipopatwa na ugonjwa unaoathiri ubongo..(Jina lke kitaalamu silikumbuki) alinukuliwa akisema kwamba..Mungu alimpa mtihani ule ili kumkumbusha tu kuwa yeye hakuwa lolote wala chochote bali kiumbe dhaifu mbele ya mola wake na kwamba The greatest ni mmoja pekee nae ni Allah S.W.T..
d1727a6dfc42e0ebeafed00542d7ab38.jpg
 
Katika kipindi cha uhai wake Ali anakumbukwa zaidi kama mmoja kati ya watu waliokuwa na misimamo mikali sana..aliwahi kuigomea serikali ya marekani dhidi ya agizo lake la kutaka akashiriki vitani nchini Vietnam..na kuwaambia wazi wazi bila kung'ata maneno kwamba hawezi kwenda kuua watu wasio na hatia na adui wa marekani ni marekani wenyewe, maneno yaliwakasirisha sana wamarekani na kumpa Ali The greatest adhabu kali sana...
67abb9e711549b37b7118a164fb37343.jpg
 
Back
Top Bottom