Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Uongo hadi mtoto mdogo ila kuzini wakubwakipi kinaongoza uongo au dhambi ya kuzini?
Usijifanye mzee[emoji3][emoji3]
Hakika nakuhakikishia kabla ya jogoo hajawika mara pili saa kumi jioni hii nitakuwa nimekubofya like zote hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Jambo jambo Demiss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]100000
HahahhahahaHa ha haaaaaaaaa
Anataka kuwa Mario eeeeh
HahahahaUlishawahi kupigwa risasi? Ya jicho?
Kimbiza kimbiza120k mpaka mwisho wa siku
Kwanini mkuuThread imeshakuwa chungu hii
Usain boltKimbiza kimbiza
NikupambanaEndelea kupambana!
Hapo si shibiTitizo wanaume wa mkoa mnataka kula kisado kizima, afu mnafanya kazi ngumu ngumu. Jioni unalaza elfu 10 [emoji23] [emoji23] . Watoto wa mjini tunakula kwa afya tu, tunafanya kazi smartly na strategically. Jioni tunalaza laki 2 kama Ronaldo. Kaugali kama skonzi
Siku nikutoe lunch SalmahUwiiiii...!! my favourite
Yummy yummy pembeni ushushie na glass ya mtindi bariiidi..[emoji173]