dukekichwa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 338
- 1,637
NaamLikers
NaamLikers
Nikiendaga mwanza mara zote lazima nipite @rockbottom. Hawajawahi kuniangusha kwenye Sato.Uwiiiii...!! my favourite
Yummy yummy pembeni ushushie na glass ya mtindi bariiidi..[emoji173]
14secondUsain bolt
9 seconds14second
Kazi nzuriHakika nakuhakikishia kabla ya jogoo hajawika mara pili saa kumi jioni hii nitakuwa nimekubofya like zote hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Jambo jambo Demiss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula like yako mkuuUzi huu unaleta raha na kuondoa stress!
Hahahaa poleniKibiti kwa sasa hatuoni hivi
Hahahaaaa hatimaye ombi lako limejibiwa leo....Doooh, am speechless. Wapi kichwa kichafu, wapi Andjul, wapi Carba ......!!!????
9.58sec 100mt wc9 seconds
Kula na weweKula like yako mkuu
Natamani siku mwanaume wa mkoani aje anitembelee. Wallah ntakua namkomoa daily, hadi ajue kua kula vzr si kula sana. Mtu unakula km kiwavi jeshi bana.Hapo si shibi
Acha maneno weka mziki. We nipe binti yako mmoja. Ntakua kila siku jioni nakifata kwako kukufundisha how it's done, for FREEEEE.
Eeeeeh
Nakuambia habari ndio hiyoooooo