dukekichwa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 338
- 1,637
Remove nonNon sense
Remove nonNon sense
[emoji818]Get up on it
Msongo wa nini mama,mimi nipo napatikana bure kabisaa...Nipo wapenzi, nawamis sana japo pia niko na msongo wa mawazo balaa. Ila nikiingia humu napata faraja nachekaaaaaa weeeee nasahau machungu kwa muda.
I knowKimya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Hiyo ni kuwekana njaaNatamani siku mwanaume wa mkoani aje anitembelee. Wallah ntakua namkomoa daily, hadi ajue kua kula vzr si kula sana. Mtu unakula km kiwavi jeshi bana.![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi umefuraaahi mwenyewe
Anapunguza fursaUsijifanye mzee[emoji3][emoji3]
Uzi huu unaleta raha na kuondoa stress!
Mayenu hahahahaMayenu
Kabisa wivu mtupu. Msosi mwepesUkweli ni kwamba wanaume wa mkoani km mbunge wa Kilwa vijijini wanatuonea sana wivu wanaume wa Dar.![]()
Kwa kweliUzi huu unaleta raha na kuondoa stress!
Now you are talking. Haya ndio mambo napenda kusikia sikia masikinio mwangu.Ha ha ha haaaa
Nashukuru kwa kuona kuwa naweza kuwa mama mkwe super kwako
Uzidi kubarikiwa Kijana
Usijali nitakufikiria nikiona wakukumachi
Inawezekana! Watoto wa mjini hao. We msikilize tu shida yake!
Hahahaha uuuuuhhhh jamani naumia hadi nakosa nguvu. Eeeh Mungu nijalie uvumilivuMsongo wa nini mama,mimi nipo napatikana bure kabisaa...