Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madhara ya kunyonya UUME kwa Wanawake
Kitendo hiki ni pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.
 
Kama wote tunavofaham ya kwamba kwenye miili yetu kuna bacteria Rafiki(normal flora);sasa hao bacteria wakiingia sehem ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea,wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume.
 
Hii inaweza isilete madhara mapema lakini uendeleaji wa kunyonya nyonya wanaume au wanawake wengi mara kwa mara hupelekea kupata madhara mengi na mengine ni magumu kutibu.
Kupata maambukizi ya HIV
Kupata madonda mdomoni
Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…