Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
huu ugonjwa husambwazwa kwa kupitia kufanya jimai haswa panapo kua na michubuko ndio maana wanawake wengi hupata ugonjwa huu kutokana na maumbile yao kua malaini
Leicester City anacheza kesho! Akishinda bado tunabakia hapo nafasi ya 5. Draw ama kichapo tutakua salama.Hapa kazi kwetu tusije kuteleza
Kumekucha! 😂Madhara ya kunyonya UUME kwa Wanawake
Kitendo hiki ni pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.
Aah sio mbaya bado mbio zipo. Jtatu tukishinda tunajiweka vizuri,chelsea jnne hana mpinzan wa kueleweka maana Norwich hawaaminiki.Leicester City anacheza kesho! Akishinda bado tunabakia hapo nafasi ya 5. Draw ama kichapo tutakua salama.
Hahahahaha hilo pozi nimeweka saiv. Nimecheka balaa
Thats for sure, nzuri zaidi Leicester city pia anakutana na Shelfied week hii pia nahisi itakua mechi nzuri.Aah sio mbaya bado mbio zipo. Jtatu tukishinda tunajiweka vizuri,chelsea jnne hana mpinzan wa kueleweka maana Norwich hawaaminiki.
Hapa kazi yetu ni kumchapa Southampton kisha crystal palace huku tukiangalia kati ya chelsea na Leicester nani atatuachia nafasi
Epl imenoga. Tuliimiss hii burudani na vile bruno kanogesha makali zaidi basi tunapiga nne tu na kutembea vifua mbeleThats for sure, nzuri zaidi Leicester city pia anakutana na Shelfied week hii pia nahisi itakua mechi nzuri.