Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

70% ya wanao bakia hua ni wale wanao athiri sehemu zingine za mwili kama mkononi usoni na miguuni

ILA HPV ISIYO ONEKANA KWENYE VIUNGO VYA SIRI YAANA VINAVYO OTA NDANI MARA NYINGI HUPELEKEA KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ATAKAE NYONYA KIUNGO HICHO HUPELEKEA KUPATA KANSA YA KOO
 
K
Leicester City anacheza kesho! Akishinda bado tunabakia hapo nafasi ya 5. Draw ama kichapo tutakua salama.
Aah sio mbaya bado mbio zipo. Jtatu tukishinda tunajiweka vizuri,chelsea jnne hana mpinzan wa kueleweka maana Norwich hawaaminiki.

Hapa kazi yetu ni kumchapa Southampton kisha crystal palace huku tukiangalia kati ya chelsea na Leicester nani atatuachia nafasi
 
Thats for sure, nzuri zaidi Leicester city pia anakutana na Shelfied week hii pia nahisi itakua mechi nzuri.
 
Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoeshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu.
 
Zifuatazo ni faida za kutumia rozela.Maua ya rosella utengenezwa juisi inayo ongeza damu mwilini kwa harakaHutumiwa kama mboga na mbegu zake hutoa mafuta yanayo tumika kama dawa ya vidonda.
 
Dawa ya magonjwa mbalimbali kama kushusha presha, sukari, uric acid mwilini, inatibu kikohozi na mafua, ina punguza mwili pia hutengeneza ngozi na kuifanya iwe laini.
 
Muhimu.

Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika.
 
Muhimu.Kulingana na matumizi na faida za maua ya rosella ni vyema kupanda kwa wingi maua haya katika mazingira ya nyumbani kama ya navyo pandwa maua mengine ili iwe rahisi kuyapata pindi yanapo hitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…