moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Swafi mkuu, niajeHabari za humu ndani ?
"400kV Tapped"
Uchebe hafai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Piga tu, hakuna namna[emoji23]View attachment 1504129
Yanga...[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Tulionywa nasi tunawaonya.Uchebe hafai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Atakuja kuua...
Suluhisho la kudumu hapo ni kupiga chini kama Shishi harekebishiki kama wengi wanavyosema. Kupiga atakuja kupata mada kesi....
Nawasikitikia sana
Kabisa kabisa hana namnaChelsea naona kakubali kutuachia nafasi ya 3!!