Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchebe hafai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Atakuja kuua...

Suluhisho la kudumu hapo ni kupiga chini kama Shishi harekebishiki kama wengi wanavyosema. Kupiga atakuja kupata mada kesi....
Tulionywa nasi tunawaonya.
Wakati wa kuchagua mke ndiyo wakati mgumu sana.
Kuikulupukia ndoa kuna madhara mengi sana baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…