Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3] kwa nini
Ha ha ha hii conversation nimeikuta mtu kaiweka kule kwenye uzi wa Kimasihara...sasa ukiifatilia vizuri hii conversation hapa... Unaona kabsa kama jamaa alikuwa anajichatisha mwenyewe... Angalia kwa mfano hapo aliposema kuwa "kulipapasa" et mwanamke ndio anauliza kwanza halaf jamaa na ww anasema et nataka kulipapasa[emoji23][emoji23]
 
Aisee
 
Mito miwili mikubwa Afrika magharibi, Mto Niger Kushoto na mto Benue kulia ikiwa imekutana eneo liitwalo Lukoja nchini Nigeria.
Maji hayo yamekutana lakini hayachanganyikani.


Tumshukuru Mungu kwa uwezo wake.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Alhamdulillah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…