andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Na kuwepo na ushahidi wa sms za kujibizana na pia mjadala ulenge lengo la kukutana kwenu. Katika sms hizo, mtumiwa m/tigopesa lazima awe na sms inayo mfunga pasi na shaka kuwa hatakosa miadi akipata pesa hiyo...
Mfano:-
Mbebe--bebi niamini, ukituma haki ya Mungu nitakuja leo leo japo sitalala...
Mlugaluga--nikituma saa hii tutakutana saa ngapi?
Mbebe--hivi naingia kuoga bebi, saa tisa nitakuwa nimefika.
Hapo kesi inakuwa nyepesi saaanaa... Muhimu neno la "kulana konokono lazima liwepo kwenye majibizano kukazia lengo la miadi"
Kila lenye kheri likawe kwenye kukomoana [emoji120][emoji120]