andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Na kuwepo na ushahidi wa sms za kujibizana na pia mjadala ulenge lengo la kukutana kwenu. Katika sms hizo, mtumiwa m/tigopesa lazima awe na sms inayo mfunga pasi na shaka kuwa hatakosa miadi akipata pesa hiyo...
Nilikuwa najipaka hii mpaka nameremeta yaani. Primary school huko dah [emoji16][emoji16][emoji16]Wahenga mnaikumbuka hiyoView attachment 1506682
Siku nyingine ukidundwa usije mitandaoni. Shwaini!!!"Uchebe ameniomba radhi, nimemsamehe"---ShiloleView attachment 1506683
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]"Uchebe ameniomba radhi, nimemsamehe"---ShiloleView attachment 1506683
Masharti ya mganga [emoji16][emoji16][emoji16]Supa staa anayetembea pekuView attachment 1506688
Mwingine ameukwaa urais huko Malawi halafu kwenye kuchagua baraza lake la mawaziri kachagua mke na mume, mtu na mdogo wake watu wameanza kuandamana.Mchungaji aliyegeukia politikView attachment 1506690
Sio mimi.Akhsanteee
Ankoo Naye hayupo?
Inafu orede [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Atakuwa mtoto wa ISIS na Mzee wa Liver huyu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wanasema wewe ni Lowasa aliyechangamka [emoji16][emoji16][emoji16]
AiseeSio mimi.
Huyo unae lea
HaswaaaaaaaaaaahSana mkuu... Nafikiri hata ww umeliona hilo
Mmmmh mam yetu cc wana wa elimu, lol atajua kutunyoosha haswaaaaahProfesa Ndalichako achukua fomu Kasulu mjiniView attachment 1506735
[emoji1][emoji1]nilijua mapaja na chupi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimecheka kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1506583
Taratibu daddieeh lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nimecheka kwa sauti