Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
PoaLikes
PoaLikes
ndio kutishana nyau sioNguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal![]()
Ahsante kwa kunielewa[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahhaahahaha
Ndugu yangu ni kweli tunaheshimiana
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Weeeee,dakika mbili nyingi sana kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aah kulingana na mazingira na malezi. Nao wana misosi yao ya nguvuNguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal![]()
Hahaha shukran mkuuNakukubali sana
Restaurants na hotels si kwaajili ya wazungu tu...Kama bado hujaoa huyo mtoto wa watu huko alipo ajipange c kwa mapishi hayo aiseeh..!!ukute na mwanamke mwenyewe kwenye mapishi zeroo hahahahaha..
Nimesikia watu wanaojiita wa town wakula hivyo.Hahahaha kaugali gani hako. Hata mtoto hashibi
Nimeshagawa zamaanKazi kweli kweli naomba ukoko wa vyakula
Hahahahaha nikajua unapika mwenyeweRestaurants na hotels si kwaajili ya wazungu tu...![]()
DUuh yaan hao wakifanyiwa opareshen madokta watakuta minyoo tu tumbonNimesikia watu wanaojiita wa town wakula hivyo.
HahahahahaDUuh yaan hao wakifanyiwa opareshen madokta watakuta minyoo tu tumbon
hhahahahhahahahhahaNguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal![]()
SawaaYep
Umeipenda na kupa ile ya kwenda huko or pita or sepa eeeeh