moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hapo kaona uhai muhimu😀 Hatari. Asingekata tamaa
Na watalogana sana mwaka huu! Posti moja moja mtu nyomi..Hapo kaona uhai muhimu
Na watalogana sana mwaka huu! Posti moja moja mtu nyomi..
Neema kwa waganga
Duh AiseeKabisaa,nimeona tbc kahama huko njia panda pamejaa mambo ya uganga yaan hata kwenye barabara ya lami pale kati watu wamefanya yao
Hapo Lazma uombe kumuweka mwingne tena
Asee, mikakati X kujirudisha
Aaaah na vizuri nimekudaka saiv sitakubali mahubiri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😂😂😂It's my new disgusting
Pole kukusumbua ni mimi mwenyewe..
Mich yo mno numby
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] atakulogaNi kazi kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1509574
Nimeangalia profile yako nikapitia nyuzi zako za zamanKwanini sasa😂😂
Umegunduaje.?
Wow..
Upunguze ukali sasa