Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-07-17 Instagram(2).png


😋🥰
 
Uchaguzi wa mwaka huu unashuhudia maelfu ya watanzania wakiomba ridhaa ya vyama vyao kugombea nafasi ya Udiwani na ubunge.
Makundi ya watalaam katika fani mbalimbali wanaweka kando taaluma zao hatimaye kujitosa kwenye siasa
 
Hatimaye wahadhiri wa vyuo vikuu, wahandisi, madaktari, walimu, askari, wakulima, wafanya kazi za uyaya, dada poa, kaka poa, wauza matunda sokoni, matajiri, mafukara, ombaomba, wasanii wa muziki, waandishi wa habari, wasakata soka, wacheza sinema, wachimbaji wa madini, wavuvi, waongoza watalii, madereva wa daladala, waendesha bajaji na bodaboda, wazurulaji wote wamejitosa kwenye siasa.

Sababu ni nini?
Tutafakari hapa
 
Back
Top Bottom