myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mnaoendelea na kazi poleni....
Duh!!Ulisisitiza anko. Huku wazima kabisa.
Mwezi ujao kutwa ntakua barabarani napungia mkono mabasi yote yatakayopita yaan ile karibu ya ki anonymous
He!! aliharibu sokoMfanyakazi katika kiwanda cha Coca-cola alifukuzwa kazi baada ya kukutwa anakunywa kinywaji aina ya Pepsi wakati yupo kazini.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ulisisitiza anko. Huku wazima kabisa.
Mwezi ujao kutwa ntakua barabarani napungia mkono mabasi yote yatakayopita yaan ile karibu ya ki anonymous
Alikosea utabiri aisee....mimi natabiri 4020Kwa kupitia utabiri wa mwanasayansi Isaac Newton, 2060 ni mwaka ambao dunia yote itaangamia na kupotea (mwisho wa dunia).
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kama nakuona unavyo punga mkono huku unapost tafiti zako... Sitapata shida kukuona
Wazee wa editing wakamsingizia amber ruttyHongera waliotangaza nia na kuchukua form.....