Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shida ya Marko ilitatuliwa wakati viongozi wa uwanja wa ndege walipomnunulia nyumba katika mtaa mwengine na kuibadilisha nyumba yake kwa sababu walishindwa kumlazimisha aondoe ule ujembe juu ya nyumba yake hiyo kwa njia halali.
 
Sijaelewa mie
FB_IMG_15949843427971054.jpg
 
Anaitwa Michel Lotito ameingia katika kitabu cha Guinnes Book of record kwa kula ndege aina ya Cessna 150 yote na kuimaliza kabisa.
Nikajua ndege mnyama
Mbuni ana spidi kuliko farasi.
Mbuni anaweza kupiga kelele sauti yake ikafunika ngurumo ya simba na Mbuni anaweza kumpenda binadamu kimapenzi.
Duh!
 
Back
Top Bottom