Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkokaa umeshaganda au bado
Screenshot_20200717-064819.png
 
Nimeiona Anko, sina cha kuiongelea wewe ni binti yangu nikupendae mno[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
🤣 🤣 🤣 🤣 kama bwana jiwe vile. Unajibu kulingana na ulivyoamka. Leo nimekua binti kesho mtoto wa aunt kisha unajibu kwa ufafanuzi zaidi kama ya mke na mume walionuniana,usiku mnene wakapatana
 
Back
Top Bottom