Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa upande mwingine, mbweha hawezi kustahimili miiba ya nungunungu, lakini anaweza kujaribu kumviringisha hadi majini, ambapo nungunungu hulazimika kujikunjua la sivyo atakufa maji. Kwa kuwa nungunungu ni mwogeleaji hodari, huenda akafikia mawe au kuingia ndani ya mashimo yaliyo kando ya mto kabla mbweha hajamnyakua na kumfanya kuwa kitoweo chake.
 
Watoto hao huwa hawaoni wala kusikia wanapozaliwa, hivyo wanaweza kushambuliwa kwa urahisi katika majuma mawili ya kwanza. Kisha miiba humea mahali palipokuwa na manyoya laini. Baadaye wanaweza kujikunja kabisa. Kabla ya kupata uwezo huo, wao huruka juu mara moja na kutoa mlio mkali wa kuchatachata wanaposhtuliwa. Jambo hilo huwashtua maadui zao wengi.
 
Ana tezi maalumu anayotumia kudhibiti hali ya joto la mwili wake anapolala. Kiasi cha joto kikipungua sana wakati huo, tezi hiyo hutokeza joto zaidi linalomfanya ajue kwamba anapaswa kutafuta makao yenye joto zaidi, yaliyozingirwa zaidi. Hii haimaanishi kwamba wakati wa baridi nungunungu hana habari kuhusu kinachoendelea katika mazingira yake. Anaweza kusikia sauti yoyote iliyo karibu naye, na kumfanya asonge kidogo
 
Ukijaribu kumfuga nungunungu, yeye hupanda ukutani, au kwenye bomba la maji na kuponyoka kwani anapenda kulisha katika eneo kubwa. Ndiyo sababu, si rahisi kumfuga au kumfanya awe mnyama kipenzi. Ni vizuri zaidi kwamba hafugwi kwa kuwa yeye hubeba viroboto wengi sana
 
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia
Ngazi za chini
Familia 2:
Hystricidae
Erethizontidae
Jenasi 8:
Hystricidae
Atherurus
Hystrix
Trichys
Erethizontidae
Chaetomys
Coendou
Echinoprocta
Erethizon
Sphiggurus.
 
Kwahiyo umeganda sahii?
Screenshot_20200716-202511.png

😀 npo bongo nlkuwa nakwambia hata huku hiyo miezi kuna barid
 
Back
Top Bottom