Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu sana bwana Membe tufanye siasa
FB_IMG_1594917038310.jpg
 
Mshindweeeee [emoji351][emoji351][emoji351]

Nikaribishe kazini kwako Esta uje uone mkwara nitakaoingia nao [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe bro tutamalizana siku nitakayotinga hapo kwako. Msiponifungashia mawe ya kutosha siondoki [emoji16]
Hahahaha kazini wapi bro,umama lishe huu kuhama hama kila kona
 
Mnyama huyu mdogo anayeishi milimani, mashambani, na msituni ni wa kipekee sana. Ana manyoya magumu ya kahawia na meupe kichwani na shingoni, lakini miiba yake yenye ncha za rangi ya manjano ndiyo humtambulisha zaidi. Miiba hiyo yenye urefu wa sentimeta mbili hivi ni mikali na imepangwa katika makundi-makundi.
 
Ni vigumu sana kuweza kumuona kwa vile anaishi kwa mashaka sana,maana mara tu anapoonekana machoni pa watu hushambuliwa na kuwaua kwa sababu mbalimbali.Wengine huwaua kwa sababu ya kuwatuhumu kuwa wanakula mazao yao mashambani.Lakini wengine humuua kwa sababu wanadai kuwa miiba yake ni dawa.
 
Anaposhtuliwa, nungunungu hujikinga kwa kujikunja kama mpira. Misuli yake yenye nguvu hukaza ngozi yake yenye miiba na kuufunika mwili wake mzima. Ngozi hiyo yenye miiba hufunika kichwa, mkia, miguu, na sehemu zake za chini. Mnyama huyo anaweza kujikunja hivyo kwa muda mrefu.
 
Nungunungu huona njaa wakati wa jioni. Chakula chake cha jioni huwa wadudu na minyoo, lakini wakati mwingine anaweza kula panya, chura, mjusi, au hata njugu na matunda ya beri. Nungunungu husikia vizuri sana. Pia ana uwezo wa kunusa wenye nguvu, na unaweza kutambua jambo hilo ukiona pua lake refu lenye umajimaji.
 
Mbali na mbweha na melesi, nungunungu hana maadui wengi mwituni. Melesi aweza kubambua ngozi ya nungunungu kwa kucha zake zenye nguvu bila kuumizwa na miiba. Nimewahi kuona ngozi ya nungunungu mara kadhaa. Huenda ngozi hiyo ikawa imebaki baada ya melesi kumla nungunungu mzima.
 
Back
Top Bottom