andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Anko, siku ile nilisisitiza a niliharibu?!![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kama bwana jiwe vile. Unajibu kulingana na ulivyoamka. Leo nimekua binti kesho mtoto wa aunt kisha unajibu kwa ufafanuzi zaidi kama ya mke na mume walionuniana,usiku mnene wakapatana
Haya mambo magumu sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Unaendeleaje mama yangu pamoja na familia?
Nina mpango wa kuja huko mwezi ujao, sijui nitakukuta?
Usiondoke mpaka nifike nakuletea dhawadi