mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ile dada ya Korona [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa nataka jimboView attachment 1509708
Nani huyu ni update rekodi zangu?Gratuity Tucci
Daaah nikadhan ID mpya tena kamdada karembo(shosti mpya)
kumbe ni wewe jamaa mwenye nywele nyingi nzuri aaah jana nikaacha ligi tamu kisa kizungu chako
Kama vipi pandisheni vigezo na masharti. Lakini kama ni kujua kusoma na kuandika pamoja na kuwa na akili timamu tu basi wanakidhi vigezo
Uliombwa na nani? Yaani unataka CHADEMA wamuache Lissu wakuchague wewe? Whai?
Ukerewe nasikia kweupeee. Kachukue hilo jimbo kamanda