moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poa, niaje mkuu
Poa, niaje mkuu
Dawa
Dawa
Dawa
Dawa
Urais
Ubunge
Hatari sana wacha nijenge kisiwani tu hamna namna Ukerewe pazuri bhana [emoji23][emoji16] hasa kwetu MurutunguruWamarekani wenyewe. Kisha wanakuja kuzirudisha nchi husikakama msaada wenye masharti magumu au mkopo au hawarudishi kabisa. I guess
Umberuty anaenda bungeni kuichambua tariifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali[emoji23][emoji23][emoji23]Kama vipi pandisheni vigezo na masharti. Lakini kama ni kujua kusoma na kuandika pamoja na kuwa na akili timamu tu basi wanakidhi vigezo
Anaanza kuwa mnyonge mbele ya ChademaUliombwa na nani? Yaani unataka CHADEMA wamuache Lissu wakuchague wewe? Whai?
Mwenyewe anaishi Afrika, majengo ya kifahari kwenye nchi za watu yana maana gani ?
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hapa nilipo niko k vant ya kutosha kichwani mambo ya siasa yatanikata stimu yangu bure [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Mkuu hapa nilipo niko k vant ya kutosha kichwani mambo ya siasa yatanikata stimu yangu bure [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeDa vinci
Afrika hatuna shida ya pesa. Hela tu za kununua hili jumba zinaweza kujenga zahanati ngapi huko kijijini Gambia? Yaani nchi hizi zikibana ufisadi zinaweza kabisa kuendesha miradi mingi ya maendeleo bila kutegemea mikopo na misaada ya Wachina na wazungu. Uroho.wa viongozi wetu unatumaliza.Mwenyewe anaishi Afrika, majengo ya kifahari kwenye nchi za watu yana maana gani ?
Keshabadili tena ID? Hii ni mara ya saba sasa. Kazi ipo !!!Da vinci