Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu hapa nilipo niko k vant ya kutosha kichwani mambo ya siasa yatanikata stimu yangu bure [emoji16]Ukerewe nasikia kweupeee. Kachukue hilo jimbo kamanda
ππππ eti usiku wa pipi mdau jau yule.
Wamerekani wameshafanya yao
Da vinciNani huyu ni update rekodi zangu?
Wamarekani wenyewe. Kisha wanakuja kuzirudisha nchi husikakama msaada wenye masharti magumu au mkopo au hawarudishi kabisa. I guessWamerekani wameshafanya yao
SYB hivi hizi mali zikitaifishwa zinakuwa za nani
Sent using Jamii Forums mobile app