Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umefika nyumbani na mrembo wako mnene yani kibonge ili ukamtambulishe unafika nyumbani umeme umekatika, Mama yako anakuuliza "hilo kabati utaliingizaje ndani na giza hili?"[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]...ebu mjibu Mama hapa kama kidume uliyebeba hilo kabati [emoji38][emoji38][emoji38]
Lakini pia kama wewe ni mdada ......ebu baribu kumjibu kwa sauti ya taratibu ukimjibu mama mkwe wako [emoji855][emoji4]
 
Mwenyewe anaishi Afrika, majengo ya kifahari kwenye nchi za watu yana maana gani ?
Afrika hatuna shida ya pesa. Hela tu za kununua hili jumba zinaweza kujenga zahanati ngapi huko kijijini Gambia? Yaani nchi hizi zikibana ufisadi zinaweza kabisa kuendesha miradi mingi ya maendeleo bila kutegemea mikopo na misaada ya Wachina na wazungu. Uroho.wa viongozi wetu unatumaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…