Falcon in full attack mode. Unaambiwa anaweza kufikia spidi ya km 380/saa na hakosei. Kichwani ana tundu spesho linalobalansi presha ili asipate kizunguzungu wala kupoteza fokasi...
Halafu Wamarekani nao wakaja na Northrop Grumman B-2 Spirit Bomber. Mojawapo ya ndege zao hatari sana za kivita na isiyoonekana kwenye rada.