Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400018600788_268446.jpg
 
Ulaji mara kwa mara wa Vitunguu Saumu' husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa' kwa wanaume. Husaidia kulainisha mafuta yote yanayopatikana katika mishipa ya damu hivyo huongeza kasi ya mzunguko wa damu kwa haraka. Wakati wa tendo la ndoa damu huteremka kwa urahisi mpaka kwenye Uume' na kuzidi kuongeza hamu zaidi.
Tatizo ni bei yake sasa. Nitaitafuta ile mbegu ya kienyeji ila hakutakuwa na mrejesho
 
Tendo la ndoa likifanywa kwa ustadi mkubwa husababisha Transient Global Amnesia" hali inayokupelekea kupoteza kumbukumbu kabisa kwa masaa kadhaa.
Au ndio ile vijana hujisifia kumzimisha msichana kwa vumbi la Congo au konyagi?
Ila kumpotezesha kumbukumbu mupenzi kwenye hayo mambo kuna raha yake [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom