Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Utofauti mkubwa wa Meli' na Boti' ni, Meli ina uwezo wa kuibeba Boti' ila Boti haiwezi kuibeba Meli'
Uwongoooooooo !!!!
View attachment 1510475
Duh..Sayari ya Uranus unaambiwa inanukia harufu ya ushuzi' (Kijambo) anga lake unaambiwa pia linatoa harufu kama yai lililo oza.
Alaf wameweka watu weusi tu, ama wao ndio waliumbwa na mungu sisi tukatokana na evolution?
Hapo angekuwa adam na hawa wangekuwa weupe
[emoji23][emoji23]Uwongoooooooo !!!!
View attachment 1510475
Safi sana kamanda.
Aisee..
😂😂😂😂Ulaji mara kwa mara wa Vitunguu Saumu' husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa' kwa wanaume. Husaidia kulainisha mafuta yote yanayopatikana katika mishipa ya damu hivyo huongeza kasi ya mzunguko wa damu kwa haraka. Wakati wa tendo la ndoa damu huteremka kwa urahisi mpaka kwenye Uume' na kuzidi kuongeza hamu zaidi.