Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa nini?Kama ni biashara bas ajue wanawake hawata nunua
Kwa nini?Kama ni biashara bas ajue wanawake hawata nunua
Nigeria bado wanahangaika kurudishiwa mamilioni ya Sani Abacha. Hata DRC walikuwa wanahangaika kuzipata za Seseseko. Hivi karibuni Uswizi nadhani wamesema kuwa wataanza kurudisha 100% kama wakijiridhisha. Shida hawa jamaa wanaokwenda kuficha huko wanatumia majina ya family members na hata marafiki hivyo kuzipata pesa hizo kunakuwa na mlolongo mrefu sana kisheria.Upo sahihi, hata walio ficha mihela yao Uswisi hawana mamlaka ya kuzitumia watakavyo, mmiliki akifa na hela hupotea automatikale
Jibu zuri sana ![emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Ndiyo.Umeshawahi kula uyoga?View attachment 1510084
Safi sana kamanda.
Ilo pozi limekaa kiwizi wizi lazma.wataofia kupigiwa wame zaoKwa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
Kwaiyo wawewanatoa tu kama salam etHanifa; asante sana kwa ushauri wako. Be blessed [emoji16][emoji16]
View attachment 1510427