andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Upo sahihi, hata walio ficha mihela yao Uswisi hawana mamlaka ya kuzitumia watakavyo, mmiliki akifa na hela hupotea automatikaleWamarekani wenyewe. Kisha wanakuja kuzirudisha nchi husikakama msaada wenye masharti magumu au mkopo au hawarudishi kabisa. I guess