myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ha ha ha aisee.. Uko poa lakini?
Huku hatujambo kabsa, uzima upo..Nipo poa kabisa,mzima huko ulipo?
Mchana mwema pia ningeHuku hatujambo kabsa, uzima upo..
Uwe na mchana mwema binti mpole, Numby.
AsanteChanganya na tangawizi kidogo. Ukiona vipi unaweka na ka limao kwa mbali.
Mm huwa na blend tangawizi na kutunguu swaum kisha nakamulia limao kidogo ndio naweza tumia bila shida.
Ila kitunguu swaumu pekee siwezi kbs.
Katoto kazima kanakusalimu ustaadhIleje ni walimu wa walimu,
Ileje hawafanyi mambo kwa sifa wao wanaenda kimya kimya.
Kwema huko, katoto hakajambo
Hakuna watoto humu opsss mtoto king hayupo hahahah