Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi Rungwe haikuwa ya yule (marehemu)mnyakyusa muda mwingi alikuwa anavaa kofia pana utadhani ungo?Hivi huyu Mdingi bado ni mmiliki wa ile Rungwe Oceanic? Hivi bado ipo, mda sijakatiza mitaa hiyo.
Nani, Mwakitwange?Hivi Rungwe haikuwa ya yule (marehemu)mnyakyusa muda mwingi alikuwa anavaa kofia pana utadhani ungo?
Eee yeye ndo anitolee mahari maana kuna kupata mke na kuna kusaidia wazazi wa mwanamke mzigo.Hapo usije kushangaa unajikuta unapata jibu negative !!!
Sawasawa...Tena Harrier kabisa au Rav4 nzuri tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Au Bajaji 2 na chenji inabaki..
Au Bodaboda kibao...
Yes, baba Rose,mzee mwanzilishi wa TCCIA na mwenyekiti wa chama cha upinzani PONANani, Mwakitwange?
Shwaini zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527]
View attachment 1511221
Namhurumia dadangu jamani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Shwaini zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaaa, Baba Rose! 😅... Mimi Nikadhani ni huyo Mzee Rungwe.Yes, baba Rose,mzee mwanzilishi wa TCCIA na mwenyekiti wa chama cha upinzani PONA
Kwahiyo nachanganya au nakula tofauti?
Maana vitunguu Swaumu nikitafuna naweza kutapika kila kitu mkuu.
Labda nivimeze kama vidonge.
Huwa nafanya hivyo